Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Makopo ya rangi 6 ya kupaka ofisi yamewashinda wataezana na ma-V8?CHADEMA nao waige huo mfano mzuri ili waweze kueneza chama hadi vijijini.. Wasiendelee kula ruzuku tu
Ni rahisi kuona aliyewahi kuwa RPC anakuwa Mwenyekiti wa SISIEM MkoaNi gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 ambalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama hicho Tawala ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku...
Wametanguliza maslahi binafsi kuliko maslahi ya chama. Inasikitisha sana, baadhi ya watu wachache hasa viongozi kuneemeka na ruzuku pamoja na fedha za wafadhili/wahisani badala ya kujenga chama ikiwemo ofisi na vitendea kazi.Makopo ya rangi 6 ya kupaka ofisi yamewashinda wataezana na ma-V8?
Upuuzi mtupu, kwani hilo v8 ndiyo litaleta dawa ya corona?Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 ambalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama hicho Tawala ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku...
InsaneGari la Chama cha mapindunzi [emoji95]
Pongezi kwao
Alafu hiyo nimonia ndiyo inawalenga sanaMaambukizi yote haya ya mafua makali bado watu mnakusanyika kusheherekea ununuzi wa gari?
Yaani masifa mengine ni ya kishamba. Hivi hadi karne hii gari ni kitu cha kufanya sherehe kwa chama kama Ccm? Tumeona Chadema wakiingiza magari kwa makumi kimya kimya. Leo Ccm wanafanya sherehe na kulipana allowance kwa gari moja[emoji134][emoji134]Ungesema vi-eiteView attachment 1699333
Duuu hiyo sura haijulikani kama ni ya mzee kijana au kikongweUngesema vi-eiteView attachment 1699333
Wewe sio mzima kabisaInsane