King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 ambalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama hicho Tawala ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku..
Wengine wanagombea ubunge kupitia ccmNi rahisi kuona aliyewahi kuwa RPC anakuwa Mwenyekiti wa SISIEM Mkoa
Wewe utakuwa roboWewe sio mzima kabisa
Mbona LHD mkuu?Ungesema vi-eiteView attachment 1699333
Hiyo itakuwa ni ya mabeberu wa umoja wa ulaya😁Mbona LHD mkuu?
Wangekuwa watoto tungesema wakikua wataacha.Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku...
Mwisho wa siku utaambiwa mchawi ni beberuNi gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku..
VI EITENi gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku..
[emoji23][emoji23][emoji23] Bwashee umeisema kwa uchungu... vipi hawajawalipa buku 7 zenu nini?[emoji6]Maisha ni mafupi acha wenye meno wale raha!
Hongera..tunaomba pic za garinna sisi tukuone barabarani tuliposheNi gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku...