Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

Chama au Serikali iliyonunua?
 
Baada ya DED wa v8 Geita kupigwa mkwara, kwamba ananunua gari wakati kuna wananchi wanashida mkoani humo, wananchi tumejitokeza kupongeza juhudi za chama tawala kujinunulia V8 ile ile kwa pesa zile zile za wananchi. Mi nadhani mitano tena haitoshi. Tufanye saba.
 
Wapumbavu hujisifia kwa vitu vya ajabu,kununua gari na kupiga picha ndio level ya akili zao mataga
 
Ni kweli ngoja tuendelee kuonekana cartoons nje ya mipaka yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…