Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

Nadhani TCRA, hilo tangazo la tigo "CHA ASUBUHI"wanatakiwa wali pige stop, tu, kwani kwa mtu mzima anajua tu ni nini, japo wao watajitetea vingine, lakini waambiwe tu ktk jamii yetu sio neno zuri basi!!Ndio maana sasa limezushwa hilo jingine!!
 
TTCL tulieni acheni kuhamaki hovyo hovyo.

Boresheni huduka yote hayo yatapotea kwa wateja wenu.
Mkuu umekurupushwa huko nini?!!kwani ulichokiandika hata hakihusiani na mada!!hata kama ni "kichwa kichafu" isiwe sababu ya kuachwa tu , hata bubu kuna kipindi mkong'oto unazidi anazungumza vizuri!!wao wametoa taarifa kuwa hilo tangazo ni fake hawana kitu kama hicho, unadakia eti "boresheni huduma zenu"!!! Sasa kuna uhusiano gani?
 
Anakuja
 
hivi hawa nao wapo bado? mtatia huruma hadi lini? boresheni hili shirika, au mliopewa wadhifa hamna uwezo?
 
Nadhani TCRA, hilo tangazo la tigo "CHA ASUBUHI"wanatakiwa wali pige stop, tu, kwani kwa mtu mzima anajua tu ni nini, japo wao watajitetea vingine, lakini waambiwe tu ktk jamii yetu sio neno zuri basi!!Ndio maana sasa limezushwa hilo jingine!!
Kuna lile la "KIMOJA HAKITOSHI" yaani ubinifu umeisha yamebaki matusi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…