Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Alfajiri ya Ijumaa chap , kiongozi mkubwa wa SSC anapokea simu kutoka kwa moja ya chawa wake ndani ya Yangakwenye kamati ya ufundi kuwa kuna aina ya Vitimbi na takataka zimefukiwa pande zote mbili pamoja na sehemu za kupitia.wachezaji , akaainisha maeeneo yote, haya yaliambatana na ushahidi wa picha wakati wakifanya hayo matukio.
Baadae walinzi wa uwanja pamoja na Meneja wakapewa chai na wakaambiwa jua likishazama tu na baada ya magharibi asiingie mtu yoyote ndani ya uwanja. Wale jamaa wakapokea chao na maelezo.
Ndani ya SSC zile clip zilizotumwa pamoja na picha zikapelekwa kwa kamati ya Ufundi, kamati kupitia mtaalam wao akasema takataka hizi lazima zitolewe USIKU kwenye hatua za mwisho. Hivyo ikqkubaliwa mazoezi yapelekwe late evening, wakati mazoezi yakiwa yanaendelea…. Wataalam watoe uchafu uliowekwa na Yanga….. maeneo yote yalikuwa yameshajulikana.
wakati huo Yanga inapokea simu jioni kuwa hadi sasa SSC haijatokea na hatujapewa info zozote; - Yanga wakasisitiza kama hadi sasa hawajaja, basi msiruhusu yoyote as we spoke.
Baada ya Salat Maghareeb MNYAMA anaibuka kimya kimya LUPASO , Yanga inapewa info SSC imefika…. ; wakasisitiza wasiruhusiwe.
Ikawa kwa namna yoyote SSC asingeruhusiwa na hakukuwa na logic kwanini SSC asiruhusiwe? Kwani unampangia mtu muda wa kufanya mazoezi? au sheria ilisema mwisho wa mazoezi ni saa ngapi?
Behind the scene, kamati ya Yanga kupitia viongozi wao wakasisitiza kuwa kuna uwezekano SSC imestuka na wanaendea kutibua vile vitimbi…. wakiruhusiwa muda huu….. mnyama atashinda game. Kwa sababu hawaendi kwa lengo la mazoezi bali kutegua mabomu.
Basi SSC ikapigwa KOMEO hakuna kuingia, mmoja wa walinzi alitaka kuwaruhusu SSC , yule jamaa mwingine alimuita jamaa kando, haijulikani waliongea nini lakini nae akaendelea kukaza baada ya maongezi.
SSC iliuliza Swali.. kwanini hamtaki tuingie? walijibiwa taa hazipo sawa!!
SSC ikasema sawa, na game ya kesho mtachezaji nyie….. wakasepa!
Viongozi wa Yanga wakasema big up kama wamesepa…..hawakujua plan ya SSC.
Naishauri Bodi ya Ligi ifuatilie huu mchakato, TAKUKURU wahusishwe, mawasiliano ya Viongozi wa Yanga, walinzi wa Lupaso na mawasiliano ya Meneja yachunguzwe.Hatuwezi kuwa na mpira unaoendeshwa kishirikina.
SSC watume clip kwenda bodi ya ligi zinazoonesha Yanga ikifanya mambo ya Sihri na vitimbi, mechi za CAF mazoezi yanapigwa hadi saa tano usiku, iweje Yanga kwa kushirikiana na Meneja mkataze watu kucheza mazoezi saa tatu?