Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Hatuna kongozi kwa sasa bali tumeikabidhi Tanganyika yetu Kwa dalali wa kike
Mtatuteka na kitushambulia huku mkifurahia hadi lini? Siogopi kifo, nilizaliwa mara moja nitakufa mara moja.mkuu mbona unakosa stara kiasi hiki, unahisi wewe ni vigumu kupatikana kwakua unatumia ID fake hapa sio?
Hawanaga hata chembe ya aibu wale watuLakini hao hao wanawaomba viongozi wa dini kuiombea nchi amani. Msingi wa amani ni haki; haki inapotendeka hakuna sababu ya kuombea amani.Mambo ya ajabu sana
Mungu awaadhibuHawa wahuni wanafanya mambo ya ajabu sn
Hustaili hata kuitwa shetaniKifo ni kifo tu. Samia mitano tena.
Duh kama Mexico πDawa ilikuwa ni kuteka Wana ccm 10 au polisi 10 ili kila mtu aone Raha ya kutekwa.
Ssidhani kama nikikundi cha siri.Huwa napata wakati mgumu sana kuwatengnisha hao watekaji na kikundi maalum na cha siri kilichoundwa kwa kazi hiyo, ndani ya sirikali.
Ukiteka polisi 10 si utakua unafanya jaribio la mapinduzi?Dawa ilikuwa ni kuteka Wana ccm 10 au polisi 10 ili kila mtu aone Raha ya kutekwa.
Cc faiza foxy, StuxnetAisee watu hawana madhara yeyote ila wanapata tabu kwenye Nchi yao haya mambo wasipoyafanyia kazi huko mbele yatawaletea shida sana aisee..
π π πUkiteka polisi 10 si utakua unafanya jaribio la mapinduzi?
Adhabu yake ni kunyongwa.
Watawala walikua wajanja sana asee!!
Punguza njaa, kwani wewe sio mtanzania?Habari imetoka FB
Habari imeletwa na jf na mtu mwenye uhasi usiomithilika na utawala.
Habari itachangiwa na kuvamiwa hovyo hovyo na haters na hitimisho lao lazima liwe very biased.
Ole wako utilize shaka hiyo habari, utayavaa matusi mpaka basi. Ndo jf ilipofikia!