Taarifa fupi ya utekaji

Taarifa fupi ya utekaji

Sio kwamba mmeikabidhi bali mmeporwa kila kitu na huyo mnayetaka kumpa mitano tena...

Sasa ni mwendo wa kukatwa kiu na mama.....

Upo tayari kuendelea kuwa chini ya himaya ya wezi wauaji na wanyang'anyi?
Hatuna kongozi kwa sasa bali tumeikabidhi Tanganyika yetu Kwa dalali wa kike
 
Hii inasikitisha kumtoa roho binaadam mwenzako. Kama wangekuwa gerezani mpaka leo.lazima tungejua.
Labda wapo kizuini huko ukara ukerewe km enzi za JKN
 
mkuu mbona unakosa stara kiasi hiki, unahisi wewe ni vigumu kupatikana kwakua unatumia ID fake hapa sio?
Mtatuteka na kitushambulia huku mkifurahia hadi lini? Siogopi kifo, nilizaliwa mara moja nitakufa mara moja.
Nyie watekaji mnadhani mtaishi milele?
 
Tumuachie Mungu maana sisi hatuna la kuwafanya, Mungu atatenda
 
dah! malimwengu full maumivu.
 
Vyovyote iwavyo kinacho nisikitisha zaidi ni kwa wa Tanzania wanaopenda kuwatetea viongozi wao wanaofanya udhalimu kisa ni wa upande wa Dini yao hii inakera sana.
 
Dawa ilikuwa ni kuteka Wana ccm 10 au polisi 10 ili kila mtu aone Raha ya kutekwa.
Ukiteka polisi 10 si utakua unafanya jaribio la mapinduzi?

Adhabu yake ni kunyongwa.

Watawala/wanasiasa walikua wajanja sana asee!!

Yeye anakuchezea anavyotaka, ila ukijaribu kumgusa hukumu yake anakunyonga.
 
Habari imetoka FB
Habari imeletwa na jf na mtu mwenye uhasi usiomithilika na utawala.
Habari itachangiwa na kuvamiwa hovyo hovyo na haters na hitimisho lao lazima liwe very biased.

Ole wako utilize shaka hiyo habari, utayavaa matusi mpaka basi. Ndo jf ilipofikia!
 
Habari imetoka FB
Habari imeletwa na jf na mtu mwenye uhasi usiomithilika na utawala.
Habari itachangiwa na kuvamiwa hovyo hovyo na haters na hitimisho lao lazima liwe very biased.

Ole wako utilize shaka hiyo habari, utayavaa matusi mpaka basi. Ndo jf ilipofikia!
Punguza njaa, kwani wewe sio mtanzania?
 
Back
Top Bottom