Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii taarifa imetolewa leo au?Asante kwa kunionyesha hilo- ila unadhani ni kweli
Hii taarifa ya lini?View attachment 2817545
Hivi TANESCO wamesahau kwamba
- Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi?
- Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam watawaelewa wakiwambia mvua hazipo?
Mna stress sana!! Mbaya zaidi wewe ni miongoni mwa machawa wa CCM kazi ipo!!Asante kwa kunionyesha hilo- ila unadhani ni kweli
Mkuu hii taarifa ni 2021 November kipindi cha kipara…! Sasa hivi mvua zinanyesha hakuwezi kuwa na taarifa ya kijinga kama hiyo! Mkuu umeangalia mwezi na tarehe badala ya mwaka!View attachment 2817545