Stone Town
Senior Member
- May 28, 2007
- 114
- 26
Just In: Upigaji kura waanza usiku huu Zanzibar - Imevuja!
Katika Jimbo la Pangawe, Shehia ya Kijitoupele, Unguja, vijana wa CCM wameonekana wakisombwa na magari ya vyombo vya usalama kwa ajili ya kupiga kura za
imevuja.xyz
Na pia
Maalim Seif kuwekwa chini ya uangalizi maalum - Imevuja!
Vyombo vya usalama Zanzibar, usiku huu vimepanga kumzuia Maalim Seif Shariff Hamad asitoke nyumbani kwake, Chukwani, Zanzibar.
imevuja.xyz
Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu sasa
UPDATE:
Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
Vikosi vya Usalama visiwani Zanzibar sasa hivi vipo njiani kumrudisha Maalim Seif nyumbani kwake akiwa chini ya ulinzi mkali.
imevuja.xyz