minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Haya ni mapinduzi ya kijeshi siyo uchaguziHussein Mwinyi unataka kuingia Ikulu ya Zanzibar kwa kupandia njia ziizojaa maiti za Wazanzibari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni mapinduzi ya kijeshi siyo uchaguziHussein Mwinyi unataka kuingia Ikulu ya Zanzibar kwa kupandia njia ziizojaa maiti za Wazanzibari?
Kangagani pekee waliokufa kwa kupigwa risasi ni 3 usiku huu.Acha kuandika uwongo, utawajibika
Aiseeeh Mwalimu fufuka hata kwa sekunde moja....askari mmoja anapiga kura mara 6 au zaidi kwa mwinyi halafu zinasambazwa kwenye vituo mbalimbali usiku huu.
uchaguzi wa zenji umeshaharibika.
Mkuu tulia kwanza hadi kesho jipangeNina hasira sana! Sidhani kama nimewahi kupatwa na hasira kama usiku huu... Nina hasira sana!
Thawabu yako utaipata Mbinguni, kama sio duniani hapa hapa.Acha kuandika uwongo, utawajibika
Kangagani pekee waliyokufa kwa kupigwa risasi ni 3 usiku huu.
Sasa usijaribu kunitibua! Najisikia kufa na siogopi kufa!
Una uhakika hao ni wazazi wako? Kama wamekurithi? Kitetee unachokiamini.Ufe kwa ajili ya kupigania fulani awe mbunge ? Huu nao utakuwa umepungukiwa
Kufa km unapambania familia yako na wazazi wako hiyo utaeleweka
Mkuu huyo ametumwa na anatumika ...ila kuna mwisho na mwisho ndio huuKangagani pekee waliyokufa kwa kupigwa risasi ni 3 usiku huu.
Sasa usijaribu kunitibua! Najisikia kufa na siogopi kufa!
Siwezi kutukana usinikoti! Nitakacho kiandika kitashtua wengi sana! Usinikoti! Na nitafungiwa JFUfe kwa ajili ya kupigania fulani awe mbunge ? Huu nao utakuwa umepungukiwa
Kufa km unapambania familia yako na wazazi wako hiyo utaeleweka
Mkuu bia yetu mpuuzeKangagani pekee waliyokufa kwa kupigwa risasi ni 3 usiku huu.
Sasa usijaribu kunitibua! Najisikia kufa na siogopi kufa!
Watakumbukwa na nani kwani nyie hamwandamanii mnasakizia wenzenu wafeee mjifanye wamekufa kishujaaa. Ukihatarisha Amani ya watu ni lazima uwajibikeWamekufa kishujaa na daima watakumbukwa. Wapumzike kwa amani.
Kuna amani ganiWatakumbukwa na nani kwani nyie hamwandamanii mnasakizia wenzenu wafeee mjifanye wamekufa kishujaaa. Ukihatarisha Amani ya watu nivlazima uwajibike
Inaniuma sana na natokwa na machozi. Kweli kabisa wanapiga risasi kutua ili wakae madarakani kweli!?Mkuu tulia kwanza adi kesho jipange
Mkuu hawa washenzi wana haramu hawana mwisho mwema ninajua unavyojisikia ndivyo ninavyojisikiaInaniuma sana na natokwa na machozi. Kweli kabisa wanapiga risasi kutua ili wakae madarakani kweli!?
Inaniuma sana na natokwa na machozi. Kweli kabisa wanapiga risasi kutua ili wakae madarakani kweli!?
Najihisi kama nimeshapoteza uhai. Naomba Mungu atupe njia bora zaidi ya kuondoa hii dhulma.Mkuu hawa washenzi wana haramu hawana mwisho mwema nina juwa unavyo jisikia ndivyo ninavyo jisikia
Najihisi kama nimeshapoteza uhai. Naomba Mungu atupe njia bora zaidi ya kuondoa hii dhulma.
Hahaha Kupoteza Uhai sio Kazi Ndogo wewe endelea kukaa nyuma ya Keyboard broo Changia Changia tuNajihisi kama nimeshapoteza uhai. Naomba Mungu atupe njia bora zaidi ya kuondoa hii dhulma.