Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Issue yao ya kupiga kura usiku huu kwenye masanduku yao wanayoyaleta usiku ndiyo yameleta maafa! Wana ulinzi wa askari na wanajeshi. Raia wamekaza hawataki ushenzi wanafyatua risasi na mabomu ya machozi na kuna raia wamekufa.
Poleni sana Ndugu zetu huko Zanzibari yote hii ni tamaa ya Madaraka, majeshi mengi hasa Afrika hutumika sana na walio madarakani huu umekuwa Ugonjwa mkubwa sana.