Zanzibar 2020 Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

Zanzibar 2020 Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

Ufe kwa ajili ya kupigania fulani awe mbunge? Huu nao utakuwa umepungukiwa

Kufa kama unapambania familia yako na wazazi wako hiyo utaeleweka
Magufuli kama Amiri Jeshi mkuu atakapopandishwa kizimbani huko ng'ambo na Kiingereza hajui usiache kwenda kuwa wakili wake mpaka kesi itakapokwisha na kuhukumiwa kunyongwa. Wana CCM akili yenu haioni mbali.
 
Ili iweje... yeye ndie aliepandisha mbegu hizi! haya yote chanzo ni yeye... kwanini hakuhakikisha katiba ya vyama vingi?
Hivi sio Karume kwa kuwaogopa waarabu ndio Alikuja bara kutaka Muungano?
 
CCM inatapatapa tu kwa kuwatumia Watoto wa maskini waliojotoa kwa ajili ya kulinda Raia na mali zao .
Sasa CCM wanawatumia kulinda Chama na utajiri wao na madaraka yao.
Mbona Mwinyi hakuwapeleka watoto wake Kusomea upolisi au Kikwete au Shein, Au Samia , Au Jecha?
Bila shaka wanajua kuwa watawatumia tu kutafuta madaraka lakini hawana mapenzi ma watoto hao wa maskini.
CCM acheni kuwaumiza polisi kwa sababu ya kutafuta madaraka ambayo mkiyapata mnanufaika nyie na familia zenu huku polisi wakiwa wameumiza watu na wao kuumia.
Polisi na nyie Tendeni haki hao CCM ni watu kama walivyo ACT wanatafuta kura ,waacheni wachuane . Anayejaribu kuiba ashughulikiwe kama mwizi mwingine .
Hawa wanaoingia madarakani kwa wizi wizi ndio wanaotuibia ma kufilisi nchi yetu. Mwizi wa kura hana tofauti na mtu mwenye Cheti feki.
Awamu hii inataka kutuletea viongozi feki walioatikana kwa rushwa na wizi. Shame upon you CCM !!
 
Sio ubinafisi
Hebu fikiria ni faida gani utapata kupigania mtu awe mbunge, wakati nyumbani kwako umeacha familia haina chakula
faida gani napata kama binadamu wenzangu wanauliwa bila sababu wananyimwa haki yakuishi.....faida gani napata kama chama kinachohusika kuondoa uhai wa wazanzibar wanarudi kutuangamiza na kudhulumu haki ya kuishi na haki ya kupiga kura na kuchagua kiongozi nimtakae .......tumalizeni wote kama mnaweza patachimbika
 
Back
Top Bottom