Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

Tumepokea maoni yenu wote..

Naomba kuuliza kobazi na wayahudi wa tz mnanufaika vipi na mapigano ya hzo nchi mbili?!

Niko nasubiri majibu nijifunze..
Tunanufaika pakubwa sana waliowaletea DINI wakichapwa tutawauliza MUNGU wenu mbona Hana maajabu
 
Iran mpaka sasa hivi amepoteza uelekeo kutokana na msiba mzito walionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…