Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hii ndio inaitwa next level au nini?
Inawezekana kabisa hata akitaka kukutana na Waziri mkuuu au Malikia hakuna shida, Tatizo ni sababu za kukutana.Jambo jema, hivi balozi wa TANZANIA akihitaji kukutana na Mkuu wa polisi UK inawezekana? Imewahi kutokea? Kuuliza si ushamba nataka kujielimisha zaidi ili nijue.
Lugha ya malkia vipiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar.
Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
View attachment 1762392
View attachment 1762393
View attachment 1762394
Mkuu siro kapiga shule hasa Tena nje ya nchi na ameshafanya Kaz na interpolLugha ya malkia vipi
UAMS.....Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar.
Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
View attachment 1762392
View attachment 1762393
View attachment 1762394
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ni Balozi sio Beberu tena?
Bw. Ndombwindo kwa mabalozi wenyewe hawa wa CCM wachumia tumbo kama kina Dr. SLAA ngumu kidogoJambo jema, hivi balozi wa TANZANIA akihitaji kukutana na Mkuu wa polisi UK inawezekana? Imewahi kutokea? Kuuliza si ushamba nataka kujielimisha zaidi ili nijue.
Siro unamuonaje kwani?Lugha ya malkia vipi
kasomea sheria udsm ,kafanya interpol hivyo sio mtupu kihivyoSiro anajua Kiingereza kweli? [emoji1787]
Sirro amesoma seminary, ni mwanasheria, ana uwezo mkubwa sanaMkuu siro kapiga shule hasa Tena nje ya nchi na ameshafanya Kaz na interpol