Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar.

Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama

View attachment 1762392

View attachment 1762393

View attachment 1762394
Lazima na ilikuwa ni lazima wamtafute kamanda Sirro. Kazi iliyofanyika pale MKIRU ilikuwa sio ya kitoto. Na baada tu ya zoezi kumalizika, Sirro akasema wengine wamekimbilia Msumbiji. Baada ya mwaka mmoja kupita, dunia ilikuja kugundua ni kweli jamaa wanafanya yao Msumbiji na mpaka sasa Msumbiji imeomba msaada kutoka nchi nyingine kupambana na vijana wanaodhani walizaliwa kuja kuwaua watu.

Kama kuna taarifa muhimu ambayo wanahitaji, basi kamanda Sirro ndiyo the right person.
 
Back
Top Bottom