Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Lazima na ilikuwa ni lazima wamtafute kamanda Sirro. Kazi iliyofanyika pale MKIRU ilikuwa sio ya kitoto. Na baada tu ya zoezi kumalizika, Sirro akasema wengine wamekimbilia Msumbiji. Baada ya mwaka mmoja kupita, dunia ilikuja kugundua ni kweli jamaa wanafanya yao Msumbiji na mpaka sasa Msumbiji imeomba msaada kutoka nchi nyingine kupambana na vijana wanaodhani walizaliwa kuja kuwaua watu.

Kama kuna taarifa muhimu ambayo wanahitaji, basi kamanda Sirro ndiyo the right person.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…