tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Wanawazuia wasiingie na simu zao ili iwe rahisi kwao kuiba kura. Na ndio maana wamezuia watu kukaa hatua 200 baada ya kupiga kura kwa kuwa wanafahamu mawakala wanaweza kuziacha simu kwa ndugu zao hatua 200 na kisha kuzitumia kufikisha ujumbe kwa viongozi wao endapo wataona uovu wowote unafanyika ndani ya kituo cha kupigia kura.