Uchaguzi 2020 Taarifa kwa Makatibu CCM Taifa, mchakato wa kumchagua Mgombea Udiwani Kata ya Mtera ulikuwa na rushwa za wazi

Swala la rushwa ni jambo la mtu binafsi,hakuna mtu aliyetumwa kutoa rushwa na chama.
Mwenyekiti wa CCM ,mkoa,wilaya,kata, wakuu wa mashina,wajumbe wote wa mkutano mkuu ya mkoa,wilaya na kata hawalipwi Wala hawana mishahara na chama. swali ni Nini chanzo Chao Cha mapato ? Je kwa miaka mitano uchaguzi Hadi uchaguzi wanakula wapi? Na idadi kubwa ya wajumbe hao wanajua kusoma na kuandika unategemea kwa mfumo huo wajumbe waishije?Rushwa ndani ya chama ndio chanzo Cha mapato kwa wajumbe.Mwisho wa kunukuu.
 
Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene kumuweka MTU wake.

Kisa kikubwa ni pale Diwani aliyepita kumuomba mh Rais magufuri majengo yaliyoachwa na wachina kiwe kituo cha afya mtera,wakati msimamo wa simbachawe ulikuwa kuweka chuo cha VETA kwa upande wetu sisi wananchi kata yote tulitaka kituo cha afya na hapo ndipo Simbachawene alimtakia wazi diwani amoni kodi kwa gharama yeyote hata rudi kuwa diwani wa katahiyo kwamba kwanini amemsimamisha mh rais na kumpa taarifa hizo.

Ilikuwa mwaka Jana mwanzoni au mwakajuzi mwishoni sasa kilchotokea mwaka huu kalazimisha kumpachika mgombea wake bwana maulya kwa rushwa na ilikuwa hivi,chama kilitoa basi ndogo kwa ajili ya kukusanya wajumbe vitongojini na kuwaleta sehemu utakapofanyika uchaguzi badala yake gari la simbachawene ndilo lililokuwa linabeba wajumbe na kila mjumbe alipoingia ndani ya gari alipewa tsh 120000 lakimoja na ishirini na kuambiwa ukipokea hiyo pesa asipopita maulya unazirudisha viongozi wangu naomba mfanye uchunguzi jibu mtalipata mchana kweupe ni hayo machache niwatakie kazi njema, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Wajumbe....
 
Rushwa ni kosa la jinai kisheria,sasa uwezi kwenda kuvunja duka na kuiba kisa huna chanzo cha mapato na zaida hizo kazi sio ajira.
 
Swala la rushwa ni jambo la mtu binafsi,hakuna mtu aliyetumwa kutoa rushwa na chama.
Mwenyekiti wa CCM ,mkoa,wilaya,kata, wakuu wa mashine,wajumbe wote wa mkutano mkuu ya mkoa,wilaya na kata hawalipwi Wala hawana mishahara na chama swali Nini chanzo Chao Cha mapato ? Je kwa miaka mitano uchaguzi Hadi uchaguzi wanakula wapi? Na idadi kubwa ya wajumbe hao wanajua kusoma na kuandika unategemea kwa mfumo huo wajumbe waishije?Rushwa ndani ya chama ndio chanzo Cha mapato kwa wajumbe.Mwisho wa kunukuu.
Rushwa ni kosa la jinai kisheria,sasa uwezi kwenda kuvunja duka na kuiba kisa huna chanzo cha mapato na zaida hizo kazi sio ajira.
Ongea pole pole
 
Yaan ccm ni chama changu lakin dah rushwa inakitafuna sana hasa hiz ngazi za chini...imekua kma utamaduni yaan msimu wa uchaguzi ukifika kila mtu anashangalia kuanzia katibu wa wilaya hadi wa tawi..
Kipindi hiki ndiyo watu wanajenga makwao ndiyo watu wanapata mahari dah!
Mbaya zaid safari hii naona ushirikiano umekua mkubwa hadi na vyombo vya serikali wanakula pamoja
 
Ndiyo maana Jemedari Magufuli ameweka utaratibu ya kuwa inawezekana wajumbe was kura za maoni wanaweza rubuniwa kwa Rushes hivyo basis Majina yote yapelekwe kwenye kamati ya uteuzi ikatende haki..... na Tadhimini zingine ikiwemo uadilifu wa mgombea mbele ya jamii husika.......Na hii ni safi sanaaaaaa inawapa nafasi wagombea wazuri lakini hawezi kutoa Rushwa eitha kwa uadilifu wao au kutokuwa na pesa.
Ndugu hii ni stori tu..sidhani kaka atachaguliwa mtu aliyepata kura kumi akaachwa aliyepata kura mia..jimbo moja lina wagombea thelathini unategemea kamat gan itakayokaa kuchambua jina moja moja? Na unaambiwa maoni ya kamati ya siasa ya wilaya ndiyo yatakayozingatiwa..
Naiman uchaguzi wa mwaka huu umekua na mfumo mbovu kuliko...mungu awaongoze kamat kuu lakini...kama siyo msimamo mathubuti wa anko magu kwenye chaguzi mwaka huu majimbo yangeenda na upinzani mengi sana
 
Yaan ccm ni chama changu lakin dah rushwa inakitafuna sana hasa hiz ngazi za chini...imekua kma utamaduni yaan msimu wa uchaguzi ukifika kila mtu anashangalia kuanzia katibu wa wilaya hadi wa tawi..
Kipindi hiki ndiyo watu wanajenga makwao ndiyo watu wanapata mahari dah!
Mbaya zaid safari hii naona ushirikiano umekua mkubwa hadi na vyombo vya serikali wanakula pamoja
Kazi kweli kweli
 
Cha kushangaza zaidi gari ambalo lilikuwa linatumiwa kupiga kampeni na ndugu maulya ambalo pia ni Mali ya simbachawane ndilo lililokuwa kinakusanya wajumbe ukizingatia maulya ni chaguo la simbachawene kwahiyo ni wazi mkakati wa simbachawene umefanikiwa.
 
Ndugu hii ni stori tu..sidhani kaka atachaguliwa mtu aliyepata kura kumi akaachwa aliyepata kura mia..jimbo moja lina wagombea thelathini unategemea kamat gan itakayokaa kuchambua jina moja moja? Na unaambiwa maoni ya kamati ya siasa ya wilaya ndiyo yatakayozingatiwa..
Naiman uchaguzi wa mwaka huu umekua na mfumo mbovu kuliko...mungu awaongoze kamat kuu lakini...kama siyo msimamo mathubuti wa anko magu kwenye chaguzi mwaka huu majimbo yangeenda na upinzani mengi sana
Hapana siwezi kuamini uyasemayo kwani wajumbe wa Kura za maoni ni wangapi ukilinganisha na Idadi kubwa ya Wanachama iliyopo Jimboni Mfumo huu so Mzuri kwa wasio waadilifu na hii ndiyo kilichotokea kwa wajumbe kura za maoni....wanaambiwa mfano chukua Laki na ukichagua njoo uchukue Elfu Hamsini na nisipopita utarudisha Laki yangu hivyo unamkuta Mjumbe amechoka hajui akitoka hapo atahemea wapi hivyo hayupo tayari kurudisha Laki.....mwisho anachagua pesa baadala ya mgombea bora na kukiri ya kuwa ni pesa tu ndiyo imempa kura nyingi na so vinginevyo
Waliobuni Kamati ndiyo iwe ndiyo itakayotoa Mgombea baada ya kura za maoni aliona mbali, alijua haya......

Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Ni kweli kabisa wakiwa ndani ya gari waliambiwa kama umchagui maulya unarudisha laki na ishirini yote.
 
Kwa ujumla wakichunguza mchakato wa uchaguzi wa ndani jimbo la kibakwe kuanzia uchaguzi wa mbunge watakuta uchafu wa kiwango cha juu ilifikia mahari taasisi nyeti inayoshughurikia rushwa ndiyo walikuwa wanatumika kuzigawa kwa wajumbe nilitamani mwenyekiti ccm taifa alijue hili.

Wewe utakuwa hujasikia rushwa za Jimbo la Nyamagana. Mbona utasusa siasa. Acha bana.
 
Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene kumuweka MTU wake.

Kisa kikubwa ni pale Diwani aliyepita kumuomba mh Rais magufuri majengo yaliyoachwa na wachina kiwe kituo cha afya mtera,wakati msimamo wa simbachawe ulikuwa kuweka chuo cha VETA kwa upande wetu sisi wananchi kata yote tulitaka kituo cha afya na hapo ndipo Simbachawene alimtakia wazi diwani amoni kodi kwa gharama yeyote hata rudi kuwa diwani wa katahiyo kwamba kwanini amemsimamisha mh rais na kumpa taarifa hizo.

Ilikuwa mwaka Jana mwanzoni au mwakajuzi mwishoni sasa kilchotokea mwaka huu kalazimisha kumpachika mgombea wake bwana maulya kwa rushwa na ilikuwa hivi,chama kilitoa basi ndogo kwa ajili ya kukusanya wajumbe vitongojini na kuwaleta sehemu utakapofanyika uchaguzi badala yake gari la simbachawene ndilo lililokuwa linabeba wajumbe na kila mjumbe alipoingia ndani ya gari alipewa tsh 120000 lakimoja na ishirini na kuambiwa ukipokea hiyo pesa asipopita maulya unazirudisha viongozi wangu naomba mfanye uchunguzi jibu mtalipata mchana kweupe ni hayo machache niwatakie kazi njema, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Hakuna haja ya uchunguzi, kwakuwa uchunguzi wenyewe utagharimu fedha na muda acha muendelee kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini hiyo ndio sifa ya mtori
 
Wana CCM vipi tena! Mbona mnaanza kushikana uchawi wakati mnasemaga rushwa hakuna wakati wa awamu ya 5? Mlipoambiwa kuwa haiwezekani kua na CCM bila rushwa mlibisha na matusi juu sasa mnatuhumiana hadharani wenywe kwa wenyewe! Tuwaelewe vipi?

Acha ujinga. Mtu anazaliwa mtu kabla ya kua mwanachama wa chama chochote. Rushwa ikiwepo inakuwa ya Mtanzania. Chama hakitengenezi tabia.
 
Kwanza sikuwa mgombea ila nilishuhudia mgao we hizo pesa na moja ya wajumbe alikuwa mdeni wangu alinilipa elfu 30 yangu alipochukua fungu lake.
Hah haa haaa...we mamba kabisa sio kiboko lol ! KWA HIYO NA WEWE UMEONJA YA RUSHWA ?
 
Back
Top Bottom