Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote


Nae ni wakili msomi
 
Mbona mawakili wasio wasomi wamenyamaza?
 
Asante sana kwa taarifa wakili msomi mwenzangu ngoja nichangamkie malipo

 
Binafsi sioni tatizo hapo coz kama hupendi kuwaita wasomi haulazimishwi..with ur degree or whatever profession u have u can choose how u want to be identified..ever questioned the difference between a teacher and a proffessor ()
 
Acheni wivu wa kike...na nyie nendeni law schooL MUITWE MAWAKILI WASOMI.,
 
Shule ya Uwakili, wizi Mtpu. Hebu waone Kampuni ya Iman, Mkono, Mama Majari (ex Balozi) na watu kama Chenge nk.

Labda tu ningelimuelewa Petro E. Mselewa kama angelisema kuwa neno MSOMI ni Term wanayoitumia wao ikiwa na maana nyingine kabisa na neno usomi. Labda ni katika kutofautisha wale walioteuliwa na JK ili hali hata Unniversity hawajaenda (kuvunja katiba kabisaa ya nchi) na wale waliofuata sheria na mwisho wakawa Mawakili wa ukweli.
Nyani Ngabu , mie siyo Mhandisi Mami, nilikimbia Umande na kuishia Fundo Mchundo....
Acheni wivu wa kike...na nyie nendeni law schooL MUITWE MAWAKILI WASOMI.,
 
Last edited by a moderator:

Fundi Mchundo Msomi;

Mchundo ime-cover material mengi ya first degree.
 
Mkuu Nyani Ngabu,usichukie.Huo ni msamiati wa kawaida kama ilivyo mingine. Kutuita wapuuzi hakutakusaidia kitu. Ukipenda kuitwa hivyo nawe kasome sheria na uwe Wakili Msomi ha ha ha ha ha

Wakili msomi maana yake ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Yaani we acha tu.

Eti wakili msomi. Wamesoma nini hao ambacho wengine hawajasoma?

Mami na wewe kwa nini usijiite mhandisi wa ukwee aliyesomea majuu?:biggrin1:

nilikuwa na kiu ya kuona komenti yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…