Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

wakili msomi maana yake nini?
Maana yake hata km una Kesi fake, au umebaka kabint ka miaka 10
mfuate Wakili Msomi UTASHINDA
Jamaa yangu HAKI siku hizi hakuna tena ni PESA yako tu itazungumza
Hebu tuwaachie Uwanja wao, maana ndio wenye pesa kwa kuongea tu hata Mahakimu na Majaji huwasikiliza
OMBA USIWE NA KESI mwaka wao wa michango umalizike salama
 
Ni kama certified public accountants..Usipopata hiyo wewe sio mhasibu but just a clerk.

Sasa nyie mnaoumwa wenzenu kujiita wasomi can't you mind your own shit!!!
 
Binafsi sioni tatizo hapo coz kama hupendi kuwaita wasomi haulazimishwi..with ur degree or whatever profession u have u can choose how u want to be identified..ever questioned the difference between a teacher and a proffessor ()

Mie pia nawashangaa wanaobeza na kulalama.
 
Kwa kaka Richard Masika,yaani TCA - ARUSHA. Ila enzi hizo, yeye anapigwa snow ya Hungury tayari.

Students%20Cafeteria.JPG

Mchundo ulipandishia wapi?
 
Naam, bado hamna usomi wowote kuwazidi wengine. Acheni kulazimisha.

kujiita msomi ilihali wewe tayari ni wakili haiji akilini kabisa au kuna mawakili walio na certificate tu?..hii ni 'inferiority complex' tu...maana mawakili wengi wana kadegree kamoja (LLB) sasa hapo usomi unatoka wapi? wenye MSc na PhDs wajiiteje?
 
Wivu wa kike ni ugonjwa, kwa mnaougua huu ugonjwa Mungu awafanyie wepesi, hili swala sio la kulikomalia kiasi hiki, wasomi wenzie wameelewa alichoandika na watakwenda kulipia hizo, nyie mnaong'ang'ania kwanini wanajiita mawakili wasomi endeleeni na upuuzi,
 
Kumbe kuna Mawakili wasio wasomi.
Watanzania tunahitajika kuelimika ili kuweza kubadilika kifikra na kuweza kuwa sehemu ya jamii badala ya kujitenga na kujiona kuwa na umuhimu tofauti na wengine.
Ni ushauri tu.
 
Du, Wakili Msomi imenimaliza nguvu. Wasiosoma wanajiita Ma-Profesa Maji Marefu na wasomi wanajiita WASOMI. Sijui kujiamini kumepotelea wapi? Mwisho tutaona watu wanatembea na Tatuu usoni, MIE Ni Dr wa Ukweli (PhD).

Mwigulu na yeye anajiita Mchumi wa Daraja la Kwanza.... teteteeeee.......
wakili msomi" ni neno linalotumiwa sio kwa tz tu bali dunia nzima, hiyo ni lugha wanayoijua wanasheria tu (learned brother/learned sister)....watu wengi wanafikiri kuitwa hivyo ni kufanya maringo...hapana.
 
Kumbe kuna Mawakili wasio wasomi.
Watanzania tunahitajika kuelimika ili kuweza kubadilika kifikra na kuweza kuwa sehemu ya jamii badala ya kujitenga na kujiona kuwa na umuhimu tofauti na wengine.
Ni ushauri tu.
hiyo ni lugha ya field ya sheria mzee, dunia nzima iko hivyo, hata ukienda marekani au australia au popote pale, mwanasheria humwita mwanasheria mwenzie "wakili msomi"....acha umbumbumbu, sio kwamba wanaringa, kila field ina lugha zake.
 
Kuitwa wakili msomi Siyo sifa au kujikweza. Ni jina ambalo hutumika kwa mawakili wote. Kwa ufupi dunian kote kila wakili ni msomi. Ni field ya kipekee dunian ambayo mpaka kufikia hatua ya kuitwa wakili si kazi nyepesi. Ndio utakuta maneno kama learned brother, leanerd sister, learned magistrate, his Lord ship etc. Only in legal field. Wasomi wengi wanaelewa vyema nachokisema Hii ni kutokana NA background ya sheria yenyewe. Wasomi msisahau AGM arusha.27/02/14.
 
Back
Top Bottom