Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Haya mdugu msomi wakili mwanasheria. Na kamwe huwezi pata hela zangu wewe kwa sababu sidhani kuna unaloweza ambalo mi siliwezi na sidhani kuna unalolijua ambalo mi silijui, katika sheria, ni wazi.
haya mdugu msomi wakili mwanasheria. Na kamwe huwezi pata hela zangu wewe kwa sababu sidhani kuna unaloweza ambalo mi siliwezi na sidhani kuna unalolijua ambalo mi silijui, katika sheria, ni wazi.
Wewe jamaa unajisikia sana, unadharau pia.
Nimesoma mabandiko mengi sana,uchangiaji wako ni wa kimajigambo majigambo, unajifanya unajua kila kitu.
Umeambiwa hiyo ni Lugha ya Wanasheria,bandiko lipo jukwaa la sheria.
Lakini umekomaa na Kejeli zako,jirekebishe bwana.
meseji ilikuwa inatumwa kwa wanasheria tu, lilikuwa ni tangazo kwa wanasheria tu si kwa kila mtu, hivyo wanasheria wote wameshaelewa, wale wasio wanasheria hawajaelewa na hakuna athari kwasababu meseji haikuwa directed kwao, wanasheria wote wana lugha zao, madaktari wana lugha zao, mapolisi wana lugha zao, hivyo hapa walengwa hawakuwa ninyi wengine, walikuwa wanasheria tu. poleni kwa kuvamia mfupa wa fisi
wamekulowanisha sana.Kuna vijamaa fulan ni vi advocate,vikiwa vinaongea ni full mashauz eti mpaka vinaitana mheshimiwa. Hela zenyewe havina. Vikiona mtu ana hela eti ni fisadi. Kwa sababu havina hela vinajidai eti vi activists. To be honest naipenda sheria,lakini nachukia jinsi wanasheria wa kitanzania wanavyoweka mipaka na dharau kwa hao wanaowaita laymen. Wakat kila siku maamuz ya kesi zao yanafanyikia bar!
Ukiwa umebeba Mabox ya maliberali hicho kidole huwa kina kula utawala ktk ya makalio yako.....
Hii ni kwa msaada wa 'laymen' wote...mtanisamehe ma lawyer ndo hua tunawaitaga watu wasio lawyer hivyo..anaposema wakili msomi ni translation tu ya vile jinsi wazee wa noble profession tunavyoitana kwa hiyo jamaa ametafsiri neno learned brother, learned friend...etc etc..kama wabisha pitia pitia kesi kadhaa zilizokua reported utaona tu sema shida inakuja kiswahaili hakina maneno mengi ndo mana ikawa hiyo wakili msomi..kama imekukera ipotezee...kama imekuelimisha..barida...Res Ipsa Loquiter..!!!
Wee weee, kila siku nadili na mawakili (wa Kimarekani) mimi na ni nadra sana kuwasikia wakijiita wasomi, si kwenye missives, si kwenye business cards, si kwenye maongezi ya kawaida.
Hawalirushi rushi hilo neno kama hawa wa bongo ambao hata usomi wao ni questionable.
Kuiga iga tu hamna lolote.
Usipanick brother...tuliiiiiaaaaa...lol
Acha swagger za kilooser mkuu, haya mambo yametoka kwenye utawala wa uingereza ndo mana kuna vitu kama hivyo vya learned, learned..wamarekani wamarekani waingereza wako very proud ndo wametuambukiza sisi huku..
Wapi nimepaniki?
Nilichosema ni ukweli mtupu. Mnaiga iga tu. Si lugha, si mavazi.
Siyo kwamba wamewaambukiza. Ni kwamba nyie ni wapumbavu wa mwisho kabisa msio na ubunifu wowote ule.
Kuiga iga tu ndo mnachoweza. Zaidi ya hapo hamna usomi wowote ule. Mmeiga hadi kuvaa mijoho ya ajabu ajabu halafu bado mnaleta nyodo za ubabu kubwa? Kwendeni zenu huko.
Sasa mkuu kwenye kuiga ndo umeenda OP..maaana haiwezekani ukavaa jinsi mahakamani, lazima uwe msafi, au umkute engineer yuko field kavaa suti itakua ni ajabu so kila kitu ni kuiga tu mbona waliokua assimilated huko west africa or whatever that happened walikua wanajichukulia either kama wafaransa, wabeligiji au portuguese...take a seat brother...!!
Hahahaha sasa huko marekani wao ndo wanavaa jinsi mahakamani kuonesha kwamba wao ni wabunifu?? Au wamebadilisha nini sana sana cha ajabu...tatizo u-layman unakusumbua tuu mkuu...!!
Hii ni kwa msaada wa 'laymen' wote...mtanisamehe ma lawyer ndo hua tunawaitaga watu wasio lawyer hivyo..anaposema wakili msomi ni translation tu ya vile jinsi wazee wa noble profession tunavyoitana kwa hiyo jamaa ametafsiri neno learned brother, learned friend...etc etc..kama wabisha pitia pitia kesi kadhaa zilizokua reported utaona tu sema shida inakuja kiswahaili hakina maneno mengi ndo mana ikawa hiyo wakili msomi..kama imekukera ipotezee...kama imekuelimisha..barida...Res Ipsa Loquiter..!!!