Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Haya mdugu msomi wakili mwanasheria. Na kamwe huwezi pata hela zangu wewe kwa sababu sidhani kuna unaloweza ambalo mi siliwezi na sidhani kuna unalolijua ambalo mi silijui, katika sheria, ni wazi.
Wewe jamaa unajisikia sana, unadharau pia.
Nimesoma mabandiko mengi sana,uchangiaji wako ni wa kimajigambo majigambo, unajifanya unajua kila kitu.
Umeambiwa hiyo ni Lugha ya Wanasheria,bandiko lipo jukwaa la sheria.
Lakini umekomaa na Kejeli zako,jirekebishe bwana.