Taarifa kwa mnaoiba simu: Nimeamua kuacha simu yangu bila password yoyote. Guseni mnase

Taarifa kwa mnaoiba simu: Nimeamua kuacha simu yangu bila password yoyote. Guseni mnase

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia.

Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini.

Mniibie tu

NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA NAIKATAA KWANZA KUBABAKE😎😎😎

Atakaeuziwa hii simu ama atakaeiiba na kuitumia private, atakutana na kitu kizito sana famikia yake haitokaa isahau.
 
😂😂😂😂😂ila jamani

Haya uko wapi tuje tukuibie? Alafu ni simu gani?
 
Wanakuja pm kuomba conection wazabe na hicho kitu kizito.
 
Tambo zote izo alaf ukute tecno wereva[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom