Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Hivi kweli mtu anakaa mwaka mzima anasubiri ajira mbona sekta zingine nimwezi tu baada ya kumaliza masomo ajira zinatoka iweje kwa walimu tu
nasisi october simbali tutakuwa bize na ukawaHatuwezi kuwapa ajira kwa sasa kwasababu chama chetu kitakosa ilani ya uchaguzi!! Hivyo tumewaweka kipolo ili tupate ajenda ya kuwadanganyia kwenye kampeini kama tulivyofanya chaguzi zilizopita!! Poleni sana ndugu zangu chama chetu cha ccm kipo bize kwa sasa
Kuajiriwa walimu wengi siyo sababu maana mahitaji pia bado nimakubwa lakini pia serikali inakusanya kodi ili mambo kama haya yatekelezwe je hayo matokeo makubwa sasa yatafikiwaje kama hali ndo hii?Mfano sekta gani? kumbuka kuwa walimu ndio wanajiliwa kwa wing kuliko sekta yeyote Tanzania. Pia kumbuka kuwa watu wamemaliza chuo miaka mitatu ilopita mpaka leo hawana ajira.
Inategemea na mahitaji ya watumishi katika sekta husika mkuu, sekta yetu ya elimu bado inamahitaji makubwa sana pia tambuwa umuhimu wa elimu katika maendeleo ya taifa lolote lazima liwekeze katika elimuMwaka m1 tuu mnalalamika afu ictoshe uhakka wa kupangiwa k2o cha kaz upo,je wale wanaokaa miaka mi3 hm 4 nothing watasemaje??
Hivi kweli mtu anakaa mwaka mzima anasubiri ajira mbona sekta zingine nimwezi tu baada ya kumaliza masomo ajira zinatoka iweje kwa walimu tu
Kama jambo huelewi sema usaidiwe hakuna serekali dunian inayotegemea wahisani kulipa mishahara. Wahisani ni kwa ajili ya project za maendeleo. So kusema kwamba serekali haitoi post sababu wahisani hawajatoa pesa ni za kizushi na uongo mkubwa.Ni figure tu zile sio pesa ambazo tayari zilikuwepo coz bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi hivyo inawezekana pesa zilizotengwa kwa wizara husika hazijapelekwa zote ukizingatia bajeti ya nchi inAtegemea wahisani kwa asilimia kadhaa,
kwa maaa hiyo inawezekana kuna tatizo la pesa na ilisemekana baadhi ya wahisani waligoma kutoa pesa na nasikia hivi karibuni ndo wameridhia kutoa huenda mara baada ya kupata hizo pesa wakaajiri.