Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

Sirikari ipogo bizzeeeeeeee kulipa malimbikizo ya maden ya walimu kwanza nyie wapyaa mtulie had mwakaniiiii......
 
nataman hata nwafuate huko walko kiukwel nmechoka, hawana huruma na walimu hata kdogo, mwwee
 
Kucheleweshwa kwa ajira za walimu kimechangiwa na BVR + Katiba, lakini ni majanga #katiba chini what next.........................................?
 
Haya sasa naona wote kimya kihelehele kwisha msubir tar 25 kila mtu aone kapelekwa kijij gan
Muanzage kufua na mabeg sasa
 
Back
Top Bottom