Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

walimu wengi waliotakiwa kupandishwa madaraja mpaka ss bado wengine tokea 2010
 
Habari zenu wakuu! kwa mwenye taarifa za kuhusu post za ualimu awamu ya pili zitatoka lini tunaomba atujuze
 
serikali bado inawapa walimu wakati mgumu ni kitendawili ambacho hakijapatiwa majibu je ni lin walimu hao wataajiriwaa.....hatujasikia tamko lolote kutoka wizara husika je ajira hizo zipo au vp....
na mwenye funun ajira ni lin?
 
apa ni kutafuta namba za wahusika na kuwapigia sim ili tujue tumeongea vya kutosha umu jf mwenye namba zao atupe
 
jana bunge limeahirishwa,..bunge lijalo la tar12 May ni la bajeti....je bajeti ya kuajiri walimu ya mwaka wa fedha unaomalizika imekaaje?
 
Kazi kwelikweli

Poleni
561915_459263047505798_1841600064_n.jpg
 
Back
Top Bottom