Awamu ya kwanza ilitoka lini?
mawasiliano ya kassim majaliwa. Mwenye kuweza awe huru...
tunashukur ndugu tutafanyia kaz hilo tuone inakuaje
Usisahau kuja na mrejesho.
Wewe ndo uko mbali kabisa, ajira za walimu ni rahisi kuliko sector zote ukiacha sector ya afya.