Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

IMG-20211217-WA0241.jpg
 
Mimi naona Samia kujihusisha na inshu za kina pole pole ni kupoteza muda, kwanini wasidili na mambo muhimu ya nchi. Pole pole na wenzie walitumia uhuru wao. Mimi siamini Kama mama ndo anaelekeza haya ni PARALLEL STATE YA MSOGA GANG
Kuna chuki zingine za kipumbavu kwelikweli
 
Polepole alimwita Membe kujieleza mwaka Jana. Leo na yeye ameitwa. Ndio maisha. Duniani Hakuna wakati udumuo.

Kuni zilizo pembeni siku zote hucheka zile zinazoungua bila kujua zamu zao zinakuja.
Ndio hivyo.

Hata huko segerea mnakolaza wenzenu, amini siku yenu inakuja. What goes around comes around

MUNGU hali chumvi.
 
Mimi nadhani vikao vyenye issue nyepesi kama hizi hazitakiwi kumchukulia rais wetu wote siku nzima. Watendaji wengine ndani ya chama wangeyamaliza tu. Yuko Katibu Mkuu, Makamu Mwenyekiti na Sectrtariat. Wanafanya kazi gani.
 
Mimi naona Samia kujihusisha na inshu za kina pole pole ni kupoteza muda, kwanini wasidili na mambo muhimu ya nchi. Pole pole na wenzie walitumia uhuru wao. Mimi siamini Kama mama ndo anaelekeza haya ni PARALLEL STATE YA MSOGA GANG
Mkuu yaani kuna kakikundi kana fanya hila il
Mama akose kiti 2025.
 
CCM ijitathmini sanaaa kipindi hiki ambapo wananchi wengi wameanza kulalamika kupanda kwa gharama za Maisha Na hii dhana ya kutotataka kukosolewa bali kuwaona wasio Na weledi kuwa Ndio sahihi mbele ya Jamii, itambuwe kuwa inajimaliza.

Kwanini Bulembo hajaitwa kamati kuu kujieleza kwa kuudanganya umma kuwa CCM chini ya serikali ya awamu ya 5 iliharibu mahusiano na nchi za nje Na jumuiya za kimataifa?

Namsihi mama yetu Samia watu wachache wahuni wasikuyumbishe. Awamu ya 5 kulikuwa Na ushahidi wa wazi wa kudukuliwa kwa Sauti Na mienendo ya wazi kutaka mwenyekiti Na rais aondolewe madarakani bila kufuata taratibu ndani ya Chama. Hii ilitosha kuwaita wahusika Na waliomba radhi Na kusamehewa.

Mimi naamini mheshimiwa rais unaouwezo wa Kuongeza nchi yetu Na hivyo wachache wasikuyumbishe Na uwaambie ndani ya vikao waache kuleta taharuki ndani ya taifa letu.
 
Sijajua uanzaji wa templet ya barua kuanza na herufi ndogo kama uko sahihi ( juu kulia).
Pia sikujua kuwa ccm makao makuu yapo mtaa wa kuu nilidhani chamwino ni mtaa.
 
Back
Top Bottom