Taarifa kwa Umma: Mimi niliyekuwa Mwanachama na mpenzi mkubwa wa Yanga leo nimeamua kuhamia Klabu ya Simba ili kuunga mkono juhudi na Mafanikio

Taarifa kwa Umma: Mimi niliyekuwa Mwanachama na mpenzi mkubwa wa Yanga leo nimeamua kuhamia Klabu ya Simba ili kuunga mkono juhudi na Mafanikio

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Nugazz mwenyewe.

Yanga wameambiwa watembee kifua mbele.

Hii yanga c ya Unyongeunyone[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtani mwaka wako huu

Ila Jana As Vita alikua anacheza pila mazoezi
 
Karibu sana Simba ambayo wapenzi wake wanaongoza kwa ustaarabu, pia ni klabu ambayo inaitangaza sana nchi yetu kwani sasa hivi badala ya vyombo vya kimataifa kuzungumzia habari hasi za michezo Tanzania kama madeni ya wachezaji wanazungumzia mafanikio ya mpira wa Tanzania kimataifa ikiwemo ushindi wa jana wa simba ambao unaongeza uwezekano wa Tanzania kuwa na wawakilishi zaidi kimataifa.
 
Kwani hawa jamaa walifanikiwaje kupenya na paka pale airport, mahana hile penati kama ya kichawi vile
 
Hats Al Ahly walionekana ni kama wanaruka ruka tu uwanjani mbele ya Bayern Munchen. Unapokutana na mbabe unakuwa mnyonge mpaka watu wanahisi unajifanyisha
 
Wewe ni nani tena? Umehama kiumeni umehamia ushogani
 
Mimi nilivyo amua kuhama yanga watu wangu wa mtaani walifikiri natania ila kwa sasa wameamini
 
Mbumbumbu tu wewe!! Huna lolote. Shabiki wa Yanga hawezi kuhamia timu ya Mapaka fc 😺😸😼😽🙀😿😾👹👺 hata siku moja!!
 
Back
Top Bottom