Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Vitisho tu vya kijinga kutaka kuwa intimidate Jamii Forums!Sijaona sehemu ambapo inaonesha taarifa iliyotolewa humu jamii forum kama Ina kosa.mkurugenzi naona kama anarudia tu kutuhabarisha
Wewe huna akili hadi unapost vitu bila kufikiria?Kafungue kesi mahakamani.
Ni sawa kwa hiyo bei especially mkifunga mifumo genuine na quality kama mfumo wa Fiber wa Camera za Axis...ila tukija kukuta ni Camera za elfu sabini Sabini za Dahua au HIK vision za MP 2 au 4 hapo hamtakua na wakuwatetea.
Tupe BoQNi sawa kwa hiyo bei especially mkifunga mifumo genuine na quality kama mfumo wa Fiber wa Camera za Axis...ila tukija kukuta ni Camera za elfu sabini Sabini za Dahua au HIK vision za MP 2 au 4 hapo hamtakua na wakuwatetea.
Wamejidhihirisha kuwa ni wajinga kabisaDuh! Hapa sasa Mbwa kala mbwa. Jiwe lililokataliwa limekuwa jiwe kuu!
Mimi sio JijiTupe BoQ
Hahaha, haiwezekani ukawa na sahihi ya hivyo ukakosa kuwa mpigaji.Hiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti 🙂
NASHAURI kariakoo tuingie kwa kiinglio kama baadhi ya SEHEMU Kenya na Uganda kupunguza zile foleni za ajabu zisizo na TIJA
Taa za Barabarani hakuna lakini mnakimbilia kufunga camera.
Waweke hio BOQHawana uadilifu, Na hawato fanya.
Wanasubiri mtu aseme chengine waje kukanusha na kuweka mambo sawa tena.
Ngoja niende zangu MMU! Huku kwangu ni maji marefu 🤣Hahaha, haiwezekani ukawa na sahihi ya hivyo ukakosa kuwa mpigaji.
Unashukuru wa taarifa ipi we nzi wa kijani? Kuna ufafanuzi gani hapo zaidi ya kuendelea kujichanganya na kuji implicate?Tunawashukuru kwa Taarifa hii.
Halikadhalika, sasa Watanzania na Wananchi tunawafahamu; wachochezi na vibaraka wao, wapotoshaji na vibaraka wao, ambao walienda mbali na hata kudai mapinduzi na uasi wa kijeshi nchini-kitu ambacho sio tu kinahatarisha usalama wa Taifa letu, bali pia yawezekana kabisa, kwamba wamevunja sheria kadhaa Nchini na miongozo mingine ya JamiiForums.
Merci.
Upotoshaji gani?Huyo mpotoshaji ni wakukamatwa na kufikishwa mahakamani ili iwe fundisho kwa wazee wengine wanaoutuhadaa sisi vijana wa kesho.