Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mngetoa hizi taarifa kabla mngepungukiwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwenye tovuti yao, hiki kichwa cha Habari si inabidi kirekebishwe ?Hiki naona ni kituko, kwahiyo hata hii taarifa tuipuuze kwasababu imepostiwa kwenye mtandao huohuo wa kijamii mnaodai siyo chanzo cha kuaminika
View attachment 3242727
Waweke BoQ hapa tuoneKwanini msitoe ufafanuzi sahihi na wakueleweka tangu mwanzo wa utiwaji saini?
Lakini baadae mikshachafuliwa na watu wenye akili ndogo ndio mnatoka mashimoni na kuja kuleta ufafanuzi.
Nadhani hii tabia tuiache, taasisi zitoe na kuainisha kila kitu bayana na kwa ufasaha.
Lakini sio hii ya kutoa habari kisha kesho mnakuja kukanusha.
Tena upigaji wa juu haswaBado hata ukijumlisha nauli na hela ya kula M514 bado ni upigaji.
Matamko mengi yanayotolewa na serikali nyingi za Afrika Huwa Yana uongo mwingi kuliko ukweli hasahasa kwenye mambo ya fedha.
Netapussy kwenye moja na mbili za accountability and transparencyNi vitiosho tu vya kijinga
Hatari snNetapussy kwenye moja na mbili za accountability and transparency
Ufafanuzi upi mzuri?Mbona wadau akiwemo Mdakuzi wangu alitolea ufafanuzi mzuri tu? Hayo mambo ya kufunguliana kesi Mkurugenzi wa Jiji umefika mbali.
Taarifa hii rasmi ya ufafanuzi imetosha, na kupitia andiko la aliyeleta uzi wengi tumefahamu kuhusiana na ufungwaji huo wa kamera ambayo ni taarifa njema ya kupongezwa Mkurugenzi wa Jiji na watendaji wake.
Ni jambo la uzuri kutoa taarifa kama hii kwenye hafla ya kutia saini kisha watu wenu wa uhusiano watoe taarifa kama hii kwenye vyombo vyote vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii.
Wakuu wekeni hela nyingi hizo milioni 514 ni pesa ndogo mno kufunga Kamera za CCTV
Wakafungue tu kesi, Jamiiforums itashinda kesi asubuhi kwakuwa taarifa ya jiji imejielezaTaarifa hii rasmi ya ufafanuzi imetosha, na kupitia andiko la aliyeleta uzi wengi tumefahamu kuhusiana na ufungwaji huo wa kamera ambayo ni taarifa njema ya kupongezwa Mkurugenzi wa Jiji na watendaji wake.
Resistance Symbol looks likeHiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti 🙂
Kafungue kesi mahakamani.Ufafanuzi upi mzuri?
We kwa akili zako huoni kuna walakini kwenye taarifa yao? Wamesema wanafunga Camera ngapi? Za aina gani?
Huyo mdakuzi alijaribu kuelezea kitu kwa juju juu tu. ilipaswa hawa waje kusema wanafunga Camera ngapi? kwa gharama ipi kwa kila Camera?