Taarifa kwa Vyombo vya habari kutoka IKULU juu ya Katiba Mpya

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu hata uandishi wake ni sufuri kabisa hivi ni kweli nchi yetu ni mbovu kiasi hiki?
 
Nasubiri ikulu ikanushe hii taarifa na kama ni wao wameandika basi hiki kitengo kinadhalilisha ikulu ya Tanzania. Huu ni upuuzi kutoka ikulu ya kikwete.
Why waandike namna hii?
 

Kama uandishi wenyewe kutoka kwenye kurugenzi ya ikulu na mawasiliano basi kuna tatizo kubwa. Pia ni aibu kubwa na mnajidhalilisha. Uandishi mbaya usiokidhi vigezo vya uandishi. Endapo mimi ndo ningekuwa rais kibarua chako kingeota nyasi.
 

Ikulu kumejaa mataahira!
 

ni kweli waislam milioni 20 nao wapo katika kundi maalum. eg albino, wajane, waathirika wa HIV, nk
 
Kurugenzi gani inaandika toleo lenye makosa mwanzo mwisho ,raisi anaendekeza mipasho hana aibu embu anagalia hii

Ameongeza Rais Kikwete: “Hivi katiba mbaya inakuwa kama inayopendekezwa nakama hii inayopendekezwa ni mbaya sasa hivi nzuri ikoje?
 
Kurugenzi ya habari ikulu inapiga kampeni ya kura ya ndiyo kwa katiba ya hovyo iliyotengenezwa na maharamia wakiongozwa na Samuel Sitta chini ya uchakachuaji wa aibu kabisa!! Kikwete aende Zanzibar akawaeleze hizo shombo!!

Eti wakulima wavuvi na wasanii!!!
 
Kwa nini rais anatuambia tuikubali katiba? Si atuache tuamue wenyewe?
 
Sina la kuongeza,Kurugenzi mnakuwa mna haraka sana?:llama:
 
Wakuu ! Katiba nzuri na ya Kweli ni ile ya Tume ya Katiba a.k.a Tume ya Warioba,ilitosha.
NASUBIR KUPIGA KURA YA HAPANA.
 
sijaona rais mpuuzi kama huyu tangu nazaliwa kweli hyu ni zombie
 
Hii inayoitwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ....Imekwenda shule kweli? hii ni article mbovu kuwahi kuiona duniani? Mungu Ibariki Tanganyika

Halafu hakuna hata sababu ya maana ya kuitoa hiyo taarifa. Watanzania wengi wamlisikia JK kupitia vyombo vya habari akiongea siku alipoipokea hiyo Katiba.

Labda hawana kazi, kwa hiyo wanataka tujue kuwa wako kazini.

Vv
 
Japo hii kitu inaonyesha haina sahihi ya huyo muikulu ,tutaenda nayo hivyo hivyo,hakuna ubishi yaliyoandikwa ameyasema Mheshimiwa Kikwete.

Katiba hii si nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…