Taarifa kwa Vyombo vya habari kutoka IKULU juu ya Katiba Mpya

Katiba nzuri ni ile ambayo Marehemu hawa shiriki kuipigia kura ......Hii ya Jk imenigusa kura na marehemu
 
Katiba pendekezi siikubali kwa sababu imeandikwa na mafisadi na mawakala wao.
 
Kama hili tamko limechapishwa ikulu inadhihirisha kuwa division 5 wapo huko pia.
 

We umeongea point, sio wale mashabiki wa ...... Wanaotoa mitusi tu
 

Taarifa kwa vyombo vya habari inaandikwa hivi?
 

There we go ! ......!
 

Hayo yanayopigiwa chapuo ni mambo mepesi kabisa. Mambo yote ya msingi hayamo. Umaskini ni zao la uongozi mbovu. Rasimu iliweka mambo mazuri ya uongozi na yote yameachwa. Hayo ya makundi maalum hayana tija sana kwa Taifa kama uadilifu na usimamiz wa Rasilimali utakuwa kama ulivyo sasa. Haki za binadam nk vyote hivyo vinapigiwa chapuo ili kuleta hadaa kwa yale mambo ya msingi yanayohusu madaraka ambayo yameachwa na siyo Mwenyekiti wa BMK wala Mwenyekiti wa kamati ya uandishi ameandaa bango kitita au randama kufafanua kwa nini wameyaacha ili ukweli ujulikane.

Hii nyingine tunayoambiwa kuzingatiwa maoni ya makundi ni kutusahaulisha. Maoni hasa ya Wananchi kwa watawala yameachwa, na hamna sbbu yoyote imetolewa. Ni ajabu kweli. Ni lini tutakuwa wakweli kwa kumuogopa Mungu?
 
Mkuu hilo neno. Inasema kila mtu ana haki ya kukusanyika lakini policcm wanazuia sasa sijui hiyo ijao ndio watatimiza kweli.
Tena zuio safari sasa limewekwa kwenye Katiba yenyewe!
 

Tata chacha ombara umetuchakachua muraa. Hii taarifa kweli imeandikwa na mtani wako rweyemamu kwerii?
 
Upuu mwingine toka IKULU huu. Hivi hii kurugenzi ya mawasiliano toka ya JK, huwa inatumia akili vizuri kweli? Wapo kwa ajili ya kumridhisha MKUU WAO TU!
 
Upuu mwingine toka IKULU huu. Hivi hii kurugenzi ya mawasiliano toka ya JK, huwa inatumia akili vizuri kweli? Wapo kwa ajili ya kumridhisha MKUU WAO TU!

ikulu siku hizi imekuwa kundi la mipasho, naona mantiki ya ikulu sasa hawaijui, sikutegemea kama ikulu wangekuja na mipasho kama hiyo. Kweli ikuli ya jk kama khadija kopa.
 
Nafikiri Watanzania tulitegemea too much from Kikwete.

Huenda huyu jamaa ana uwezo mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Ndiyo mwisho wa akili zake hapo.

Hata kwa akili za mtoto mdogo angeweza kusema UZURI WA KATIBA PENDEKEZWA aganist RASIMU YA JAUDGE WARIOBA. But that I think is too much to him.
 
Paspo na shaka yoyote ile ndoa ya ukawa imevunjika rasmi sasa kila chama na lwake
 
Labda wame hack mawasiliano yao.Imekaa kama taarabu Fulani hivi ya uswazi.Mie nina mashaka
Tangu tarehe 11 Oct 2014 huu uzi ulipowekwa hapa hadi leo naona hakuna kanusho kutoka Maogogoni hivyo ni wazi huenda ilikuwa ni taarifa ya ikulu!
Kwa mwendo huu tutafanya kazi sana lakini uongozi ukiwa na upeo kama huu wa mwandishi wa hii taarifa tutachukua muda kupiga hatua.
 

UHARO,hakuna kitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…