Aiseee sosoliso Arushaone keshakuchimba beat tayari!! Inauma, shuka chaliii yangu ukaokoe jahazi.
Hii ni kwa saudari.. Bujibuji.. Safari_ni_Safari.. manoah..
Niko kwenye basi la Shambalai naelekea Lushoto.. Ninaomba mumuangalie shemeji yenu Paloma na kuhakikisha hapati shida kipndi hiki ambako sipo..
NB: mchawi mwanao akulelee.. Mmenipata hapo eeh..
Heri usingeaga..., dah.., watakavyovuruga...!!!? sipati picha
Nimeamini hupo kweli na Arushaone na kweli ulimsindikiza lazizi wako.