Afu wewe...!!
Pacha mwenzangu yule uliemuona.. Tumefanana balaa mahabuba mwenyewe anajua...
Tumewekewa cinema sasa..
za kazi mpenzi?
Kazi inaendelea vyema' leo nita kung'ata, unalijua kosa lako
aah..ila,utarudi sangapi?
Sasa ivi ndio narudi, nimemaliza kazi zangu!
Hii ni kwa saudari.. Bujibuji.. Safari_ni_Safari.. manoah..
Niko kwenye basi la Shambalai naelekea Lushoto.. Ninaomba mumuangalie shemeji yenu Paloma na kuhakikisha hapati shida kipndi hiki ambako sipo..
NB: mchawi mpe mwanao akulelee.. Mmenipata hapo eeh..
Mwambie dreva wenu awe makini kuna sehemu!vijana wa kitanga huwa wanaponda magari kwa mbele! Na kusababisha ajari!!!