Taarifa kwa wahasimu wangu.. Naelekea Lushoto..

heheheheee........anaendeseha rivesi gia...........utakoma!!!
ungetumia tu ule usafiri wenu aliokufundisha saudari wakati anakupeleka kwa babu kunitengenezea limbwata!!!

Mh babe Paloma unacikiliza porojo za saudari..? Sio limbwata bali ni crystal clear mahaba.. Halafu cijui wamelala wapi hawa leo..
 
Last edited by a moderator:
ah ah! sosoliso hesabu maumivu tu mkuu.. Hadi utoke huko Lushoto utakuta anaujauzito wa siku utazo kua huko
 
Last edited by a moderator:
ah ah! sosoliso hesabu maumivu tu mkuu.. Hadi utoke huko Lushoto utakuta anaujauzito wa siku utazo kua huko
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti Baba V naomba utumie rungu lako kutulinda.. Nawajua wakiamka hawa na hangover zao wataleta rabsha sana kwa mahabuba wangu Paloma..

sosoliso si ungemkabidhi Bishanga tu? Siku hizi keshamrudia Mola wake.
Usifanye kosa ukamkabidhi mkeo Mpare yeyote!
Ni bora umkabidhi Mchaga yeyote!
Na incase ukitaka kuhifadhiwa mkwanja usikosee ukahifadhi kwa Mchaga yeyote!
Mkabidhi Mpare yeyote!
 
Last edited by a moderator:
Anajua nimelala kazini. Alafu sosoliso mbona umeshukia kibaha?

Pacha mwenzangu yule uliemuona.. Tumefanana balaa mahabuba mwenyewe anajua...
Tumewekewa cinema sasa..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…