Taarifa kwa wahasimu wangu.. Naelekea Lushoto..

sosoliso si ungemkabidhi Bishanga tu? Siku hizi keshamrudia Mola wake.
Usifanye kosa ukamkabidhi mkeo Mpare yeyote!
Ni bora umkabidhi Mchaga yeyote!
Na incase ukitaka kuhifadhiwa mkwanja usikosee ukahifadhi kwa Mchaga yeyote!
Mkabidhi Mpare yeyote!

Mh Judgement wanasema ukimuona kobe kainama ujue anatunga sheria.. Bishanga simuamini hata kiduchu..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso si ungemkabidhi Bishanga tu? Siku hizi keshamrudia Mola wake.
Usifanye kosa ukamkabidhi mkeo Mpare yeyote!
Ni bora umkabidhi Mchaga yeyote!
Na incase ukitaka kuhifadhiwa mkwanja usikosee ukahifadhi kwa Mchaga yeyote!
Mkabidhi Mpare yeyote!



heheheheeee.......nimenote hii! lol! ila judgment yako sijui why imebase kwenye uchaga na upare? wakati Bishanga ni bepari la kihaya...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mwambie dreva wenu awe makini kuna sehemu!vijana wa kitanga huwa wanaponda magari kwa mbele! Na kusababisha ajari!!!
 
Mwambie dreva wenu awe makini kuna sehemu!vijana wa kitanga huwa wanaponda magari kwa mbele! Na kusababisha ajari!!!

yaani wehu sana wale wagosi! nakumbuka siku moja Raha Leo ilikoswakoswa, ingawa jiwe lilienda kuvunja moja ya kioo cha nyumnyuma cha ubavuni!!!
wote huu umaskini na ufukara!!! na ni matokeo ya "matokeo ya chimwaga"
 
Usijali sosoliso.
Shemeji Paloma nitamtunza na kumthamini mpaka ashangae mwenyewe!!!!!
Nitamwonyesha mapenzi yote kama shemeji wake wa ukweli,
Nitamlinda na kumtunza vyema, sitomwacha peke yake KAMWE.

Naamini hatojutia kubaki na mimi, wala hatokuwa na mawazo,
Atakuwa mwenye furaha zisizo mithilika.

Safari njema
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…