Taarifa kwa wana Simba

Taarifa kwa wana Simba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.

Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.

[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja
 
Teh teh teh hongera zao wakina Aveva na kundi lake kwa kuwashika masikio na akili mashabiki na wanachama wa simba,duh kweli kali. Yaani kabisa mnafunga safari mpaka airport kupokea zigo babu lenye mamvi yake?. Hapo points za FIFA ndio msahau kabisa.
 
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.

Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.

[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja
Taarifa kama hizi zitolewe na verified user!
 
Na SAA 8 usiku kutakuwa na walsha, na kongamano la kumpokea haruna niyonzima pale air port
 
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.

Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.

[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja
Yaan saa 12:30 asubuhi tuwe Airport kumpokea Okwi na kumsindikiza mpaka RAHA TOWER kwaajili ya kusaini mkataba (tena mkataba wa miaka 2).

Haitoshi sisi wanaSimba turudi tena kwa msafara mpaka Airport kumpokea Mo Dewji na kama haitoshi tumsindikize mpaka nyumbani kwake (eti akapumzike kidogo).

Eeeh...tena saa 9 alasiri turudi tena kwa msafara sisi mashabiki wa MNYAMA mpaka Airport kumpokea NGOMA anayekuja kujiunga na MNYAMAAAA.

Daaaaah.!
Mmetuona sisi ni vikaragosi, vikatuni flani hivi au matoy mtupelekeshe ivyo na iyo rimoti yenu...yaan mbele tembea,simaa...geuka...tembea.

Hivi nyie viongozi na wewe uliyeleta uzi huu hapa akili zenu mmeshikiwa na nani.?? Hivi nyinyi mnawaza kupitia kiungo gani cha mwili.??

Hili sonyo nililolitoa hapa yaani hata shetani na viongozi wake waandamizi hawajawahi lisikia toka watupwe hapa duniani.

Melvine.!
 
  • Thanks
Reactions: Ftc

Alafu tena kesho yake eti tukapokee kombe letu kutoka FIFA lile tulilolikatia rifaa,mfyuuuuuu zao!!
 
Duh.. Sasa hapo Gongowazi si wataendelea kuchoma jezi jamani!
 
Dah bahati mbaya makonda ni simba mngekuwa yanga tungewaweka kati vijana wetu wanafanya kazi hatutaki misafara watu wafanye kazi
 
Ama kweli masikini akipata masaburi huria mbwa....ta! Kama kweli Simba wana pesa za kutosha hii ilikuwa ni fursa ya kusajili wachezaji wa kimataifa wenye uwezo na njaa ya kufika mbali! Badala yake wanachukua watu ambao kilometa zishasoma na wameridhika tayari!
 
Back
Top Bottom