Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.
Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.
[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja