Kijana upo?Hahahahah someni sasa mkishapata msiende sana san siro,bilicanas,diamond jubilee,n.k 450,000/ sio kubwa
Weka picha
Sent from my BlackBerry 0 using JamiiForums
bora tu waweke boom jaman ndo mana nimenda chuo leo watu hamna am hapy
umoja wetu wakati wa shida na raha,hatimae umezaa matunda,kesho bumu kama kawa kwa wote..hii ni baada ya daruso kuukomalia uongozi kulingana na mashart yao ya mwanzo..sasa shule itasomeka kwa amani..
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki udsm.
solidarity forever
source plz....nina njaa ya kufa mtu....hata kajero sina