Taarifa kwa wana UDSM.

Taarifa kwa wana UDSM.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
umoja wetu wakati wa shida na raha,hatimae umezaa matunda,kesho bumu kama kawa kwa wote..hii ni baada ya daruso kuukomalia uongozi kulingana na mashart yao ya mwanzo..sasa shule itasomeka kwa amani..
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki udsm.
solidarity forever
 
Hahahahah someni sasa mkishapata msiende sana san siro,bilicanas,diamond jubilee,n.k 450,000/ sio kubwa
 
ukiishiwa nipo! 450 hela ndogo saana..ivi mnaishije hapo jamani..?
 
Boom linatoka hata kwa wale ambao hawajasign? Au sijaelewa vizuri?
 
source plz....nina njaa ya kufa mtu....hata kajero sina
 
Leo ngoja nitembelee Mabibo Hostel,ili nitoe ofa kwa mtoto mmoja
 
Kumbe bado hamjapata? Ndo maana dada zenu nawaonaga pale Magomeni !!!!!!!!!!!!!:thinking::thinking::thinking:
 
tunashukuru kwa taarifa ila zingatieni masomo yasije kutokea mambo kama ya mzumbe,matokeo mabovu wanabaki watu kunywa sumu
 
bora tu waweke boom jaman ndo mana nimenda chuo leo watu hamna am hapy
 
Chuo sasa hivi wanaamua wanachotaka leo sheria hii kesho hii na hivi vijana wa TCU na hawa Wa JKT ndio chuo kimekwisha kabisa wanaamua wapendavyo wao.
 
Kwa wanafunz wa M.A (IDS) kesho saa 5 ASBUI kuna kikao CASS A juu ya masuala mbalimbali kwa semester ya II,taarifa hizi mfikishie na mwenzako
 
daruso mmeanza lini mapinduzi? mko mbali na wanachuo harafu Mwaja kutamba mitandaoni. kwa taarifa tu
marevolutionalist wakiongozwa na yule jamaa anaeitwa al shabab walipanga kuandaa maandamano wiki kadhaa baada ya chuo kufungua. hili waliliweka wazi mbele ya kigogo wa usalama wa taifa pale block g siku ya maandamano ya Giza. serikali kuepusha dhahama wamejihami mapeeeeema. mwisho, daruso alikufaga mwaka2010 hatujajua bado kama ataweza kurudi tena.reeeeeeeeeeeeeeeeeevolution!
 
umoja wetu wakati wa shida na raha,hatimae umezaa matunda,kesho bumu kama kawa kwa wote..hii ni baada ya daruso kuukomalia uongozi kulingana na mashart yao ya mwanzo..sasa shule itasomeka kwa amani..
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki udsm.
solidarity forever

Hii ni taarifa kwa wana-UDSM au kwa wanafunzi UDSM?
 
Back
Top Bottom