Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio ikavuruge!? Nchi hopeless sana hii
.
tem.JPG
 
Hii safi sana mafisadi walikuwa wanaficha pesa kwenye hii njia
 
Chukua jembe kalime

Hatutaki ujanja awamu hiii

Viva Magufuri
 
Hamlipi kodi,mnafanya miamala haramu halafu mnashinda mnaitukana serikali!
Humu mitandaooni pamegeuka magenge ya wahuni,matusi na washangilia vifo.

Ni nchi gani zilizosonga mbele kimaendeleo,bila kukusanya kodi kwa ufasaha?
 
Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio ikavuruge!? Nchi hopeless sana hii
.View attachment 1253900
Ukiona Rahisi basi pia kumbuka ni ghali. Voda sio bank msijitie uchizi
 
serikali ya wahafidhina wapinga maendeleo
 
Anayetakiwa kulipa kodi ni service provider na siyo client anayepata service ficha upopoma wako.
Hamlipi kodi,mnafanya miamala haramu halafu mnashinda mnaitukana serikali!
Humu mitandaooni pamegeuka magenge ya wahuni,matusi na washangilia vifo.

Ni nchi gani zilizosonga mbele kimaendeleo,bila kukusanya kodi kwa ufasaha?
 
Kwani wakati wa kufanya hizo transctions vodacom hua hawakati makato yao? Au transctions zinafanyika bure aidha kutoka bank kwenda mpesa na kutoka mpesa kwenda bank?

Basi yatakua ni makosa ya voda wenyewe sio makosa ya waendesha forex trade
 
Anayetakiwa kulipa kodi ni service provider na siyo client anayepata service ficha upopoma wako.
Nchi imejaa wapumbavu hii . Kila siku nasema . Ignorance na backwardness ni tatizo kubwa sana kwa watanganyika
 
Kwa mtu ambaye amejiunga na xm broker anipe muongozo tafafhali
 
Wakuu pia naonba muongozo pia jinsi ya kuchagua leverage inayoendana mtaji mdogo
 
weka hata 1:200 itakua poa tuu, myself nilkua naweka 1:2000 hata nikiwa na usd 50 kwenye acc
 
Naona MasterCard ya Voda haifanyi kazi pia tatizo Nini?
 
Back
Top Bottom