Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio ikavuruge!? Nchi hopeless sana hii
.View attachment 1253900
Mchawi wa Mwafrika ni Mwafrika mwenyewe
 
Ile ni kwaajili ya malipo tu na si kupokelea pesa.

Sijui kwanini tz kila kitu tunakuwaga wa mwisho
Ni kweli Vodacom MasterCard inatumika kwa malipo tu lakini naona haifanyi kazi kwa Sasa wa me dissable au nini ?
 
Kwa m
Wachangamkia fursa link hiyo hapo ukiingia unapata free btc y'a 0.025 muhimu, ni kushare tu kwa marafiki
 
Back
Top Bottom