We jamaa uwe unaficha upumbavu wako thread imekuzidi kimo kaa jitulize sio kila kitu lazima uchangie.Hii safi sana mafisadi walikuwa wanaficha pesa kwenye hii njia
Ukiona Rahisi basi pia kumbuka ni ghali. Voda sio bank msijitie uchiziHatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio ikavuruge!? Nchi hopeless sana hii
.View attachment 1253900
Hamlipi kodi,mnafanya miamala haramu halafu mnashinda mnaitukana serikali!
Humu mitandaooni pamegeuka magenge ya wahuni,matusi na washangilia vifo.
Ni nchi gani zilizosonga mbele kimaendeleo,bila kukusanya kodi kwa ufasaha?
Nchi imejaa wapumbavu hii . Kila siku nasema . Ignorance na backwardness ni tatizo kubwa sana kwa watanganyikaAnayetakiwa kulipa kodi ni service provider na siyo client anayepata service ficha upopoma wako.
Kwa mtu ambaye amejiunga na xm broker anipe muongozo tafadhali