Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda


Hili la kum-designate mboe kuwa ni gaidi limeshafuta tumaini lolote jema kwa Mama. Mama amejipaka kinyesi kwa mikono yake mwenyewe, and it will take time for her to come clean on this. It is very likely kuwa atakuwa ameweka msingi wa mageuzi ya kweli nchini kwa hii mbegu aliyoipanda juzi.

It is a very serious trigger, but the ruling class is too blind to see it.
 
Honestly hukupaswa kuwa na tumaini lolote na mama.
 
Haya yanayotokea ya kiongozi mkubwa wa chama mbadala kuitwa gaidi ndiyo njia iliyopangwa tupite kuelekea kaanani?
 
Muda aliosema apewe ndiyo wa kujenga uchumi? Mwaka mmoja? Duh!
 
Mheshimiwa Tumia akili , nakushukuru sana kwa hekima yako..inayotufanya tutumie akili kuelewa. Mie kazi angu ni kutia tiki tu..na tayari naona mengi yakiwa yanafanyiwa kazi. Naamini hata mbowe na wenzake wamepewa jukumu muhimu...kazi iendeleee
 
Mheshimiwa Tumia akili , nakushukuru sana kwa hekima yako..inayotufanya tutumie akili kuelewa. Mie kazi angu ni kutia tiki tu..na tayari naona mengi yakiwa yanafanyiwa kazi. Naamini hata mbowe na wenzake wamepewa jukumu muhimu...kazi iendeleee
Kausha basi mkuu mbona mmbea hivo?!😡
 
ngoja tuone itakavyokuwa ila kwa magu ni mpango wa Mungu.
 
Good point mkuu.

Kama kweli vijana wanapikwa kwa 12 yrs hiyo ni big step maana stpeters mazee umri wawatupa.

Ujasusi katika Uchumi na biashara ndo vimeshika kasi kwa sasa duniani kote kiasi cha kupelekea kuwepo ile FiveEyes ya wajomba na binamu.

Mwisho nimewahi kupendekeza hiyo ya kumpata DG kule juu ambae nadhani akiwa ndani ya hao wanopikwa sasa haitakuwa mbaya na pia awe na exposure ya masuala yanoendelea kidunia.

Leo hii mtu akiulizwa mabadiliko ya kitabia kwa nchi za Marekani, China na Russia awe tayari kuwa na data mezani.

China juzi kapeleka kifaa mwezini na mwezi huu kazindua speed train ya nguvu yenye kasi ya 600km kwa saa!!.

Train hiyo itakuwa yaelea juu ya tracks.

Pia, hili suala la ugaidi wa ndani na majaribio ya uhai wa viongozi tuweze kuona wapi chanzo chake na kuwa tayari kuvikabili kama taifa.

Usalama na cyber security na ukuaji wa teknolojia mbalimbali ndo vyashika kasi kwa sasa duniani. Natarajia tuwe na watu walo tayari kukabiliana na hali hizi accordingly.
 
Kudadadeki zenu nyie mbwa, kwani nchi yenu peke yenu hii??!!, kwahiyo asipofanya hayo ndio mtafanyaje yani, ndio mtaendelea na huo mpango wenu?! Hahahah, dddaaaaaadek
Ha ha hawa jamaa mpka nimeogopa yani[emoji3][emoji3]
 
Careless Whisper
 
Neno taifa lina maana gani kwa uelewa wako?

Mkuu salama!

Naomba nisema kwa uchache sana kwenye hili.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya NCHI na TAIFA.

NCHI, Mwenyezi Mungu aliumba nchi, ambayo ni

ardhi, ile ardhi Mwenyezi Mungu hakuiwekea
mipaka.

Tukija kwenye swali lako TAIFA, tunapozungumzia

taifa tunazungumzia Watu. Mimi na wewe., Yule

na Huyu. Baada ya kuwa nchi imeumbwa,

akaumbwa Adam ambaye ni Taifa. Taifa likaenda

Kuitawala nchi na kuiwekea mipaka ( ardhi).


Hivyo basi, ukija kwenye nembo ya nchi yetu kuna

Bibi na Bwana na maneno yanayosomeka

"UHURU NA UMOJA"

Tunaposema UHURU, tunamaanisha Uhuru wa

NCHI na Tunaposema UMOJA, tunamaanisha

umoja wa TAIFA.

Lakini kwanini TAIFA kama Taifa lipewe alama ya

TWIGA?


Shukrani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…