Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

I am 100% sure hii ni ndoto yako ya mchana kabisa sina shaka juu ya hili.
 
Achaguzi urudiwe,ngoma iwekwe kati tuone CCM itakovyobuluza,tena mbuluzo wa haja kuzidi uliopita"kundanda ndeki"
Kweli hata Mimi ningeshauri mama angeanza na tume huru ya uchaguzi kwanza kabla ya kurudia uchaguzi au unasemaje mdau?
 
Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
acheni kujifariji Samia huyu ni yule yule aliewafanyia mtimanyongo kwenye bunge la katiba.
Mlitaka Magufuli afe,lakini hamkujua Magufuli akifa mtafanya nini,matokeo yake ni haya mnajikuta mnasahau kwamba ccm bado wapo madarakani
 
Naunga mkono hoja asilimia laki. nchi hii haiwez kuongozwa na mtu mmoja.
 
acheni kujifariji Samia huyu ni yule yule aliewafanyia mtimanyongo kwenye bunge la katiba.
Mlitaka Magufuli afe,lakini hamkujua Magufuli akifa mtafanya nini,matokeo yake ni haya mnajikuta mnasahau kwamba ccm bado wapo madarakani
Hii point nimeipenda sana
 
Kwamba kama na yeye akienda kinyume atatangulizwa kuzimu !?


Hivi mkuu waweza kutupa sababu kama 2 au 3 zilizopelekea deep state imuondoe mzee wa chato !?
 
Aisee Safi Sana Yaani huyo hajielewi kabisa yaani anataka kusema kwamba watu wanaweza kukaa chini na kufanya tukio kubwa kama lile pasipo kuwa na maandalizi yanayo elezea Nchi inavyo paswa kuendeshwa !?
 
Mkuu huo upande wa na Mimi nahitaji kuwamo huko ,..[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…