Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yako fasta boss jamaa wanakupima kwa interview moja tu kisha ukizingua wanarudia plan yaoHii mada angeileta baada ya angalau miezi miwili huko mbele tungemuelewa lakini tukio la juzi tu hili alafu anataka kusema eti tayari wamesha kaa na mama kumpa hayo
Sure ...jamaa hajui kua huyu jamaa anatoa habari kabla wananchi hatujawa na habariTatizo unakurupuka sana kwa kubwabwaja.
Hakuna mtu nayemuheshimu humu JF kama Mkuu Tumia akili huyu jamaa ni asset humu. Kila andiko lake linabeba uzito wa hali juu.
Kweli hata Mimi ningeshauri mama angeanza na tume huru ya uchaguzi kwanza kabla ya kurudia uchaguzi au unasemaje mdau?Achaguzi urudiwe,ngoma iwekwe kati tuone CCM itakovyobuluza,tena mbuluzo wa haja kuzidi uliopita"kundanda ndeki"
acheni kujifariji Samia huyu ni yule yule aliewafanyia mtimanyongo kwenye bunge la katiba.Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
Hii point nimeipenda sanaacheni kujifariji Samia huyu ni yule yule aliewafanyia mtimanyongo kwenye bunge la katiba.
Mlitaka Magufuli afe,lakini hamkujua Magufuli akifa mtafanya nini,matokeo yake ni haya mnajikuta mnasahau kwamba ccm bado wapo madarakani
NA ni mzito kuliko wewe na expert members wengi hapa jukwaani.Member.....
Kwamba kama na yeye akienda kinyume atatangulizwa kuzimu !?Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.
Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.
Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.
Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
Aisee Safi Sana Yaani huyo hajielewi kabisa yaani anataka kusema kwamba watu wanaweza kukaa chini na kufanya tukio kubwa kama lile pasipo kuwa na maandalizi yanayo elezea Nchi inavyo paswa kuendeshwa !?Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.
Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.
Jamaa analeta mahaba kwenye vitu vinavyo hitaji kuzungumza kwa factTatizo unakurupuka sana kwa kubwabwaja.
Hakuna mtu nayemuheshimu humu JF kama Mkuu Tumia akili huyu jamaa ni asset humu. Kila andiko lake linabeba uzito wa hali juu.
Mkuu huo upande wa na Mimi nahitaji kuwamo huko ,..[emoji16]Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.
Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.