Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampata wapi huyo mkuuFesto chinolo nae katabiri
Ingia youtube tafuta mapya yaibuka -festo chinolo!kuna picha ya samia, Ndugai na pastor utaiona halafu click uone video!!Nampata wapi huyo mkuu
Code'sIngia youtube tafuta mapya yaibuka -festo chinolo!kuna picha ya samia, Ndugai na pastor utaiona halafu click uone video!!
Ndio!! codes hizo kama umecheki video yake!!nyuki hao!!akipewa yeye atawapa waliemtuma halafu wafanye maamuzi Nani apewe!!Code's
Ok asnte mkuuIngia youtube tafuta mapya yaibuka -festo chinolo!kuna picha ya samia, Ndugai na pastor utaiona halafu click uone video!!
Ingia youtube tafuta mapya yaibuka -festo chinolo!kuna picha ya samia, Ndugai na pastor utaiona halafu click uone video!!
Ngoja tusubirie iyo trh 03/03/2022Ingia youtube tafuta mapya yaibuka -festo chinolo!kuna picha ya samia, Ndugai na pastor utaiona halafu click uone video!!
Unaamini alichokisema huyo Pastor?
Inaweza ikawa au isiwe!!!japo kwa uelewa wangu Hawa mapasta wanafanyia kazi taasisi nyeti kama kipilimba alivokuwa!!!hata nusu mlingoti nchini nabii bushiri alisema mwaka mpya wa Mwaka jana !!!na kweli nusu mlingoti ikapepea!!hawa jamaa sio wa kubeza tusubiri tu !!!Ngoja tusubirie iyo trh 03/03/2022
Halafu wakizungumza wapo kama wamemezeshwa manenoInaweza ikawa au isiwe!!!japo kwa uelewa wangu Hawa mapasta wanafanyia kazi taasisi nyeti kama kipilimba alivokuwa!!!hata nusu mlingoti nchini nabii bushiri alisema mwaka mpya wa Mwaka jana !!!na kweli nusu mlingoti ikapepea!!hawa jamaa sio wa kubeza tusubiri tu !!!
Halafu wakizungumza wapo kama wamemezeshwa maneno
Ngoja tuone labda mambo yatabadilikaWanaandikiwa cha kusema tu!!!nao wanasema ivo ivo!!
Na huyu aliepo mlimpa mapendekezo 18 hakusikiliza wala kuyafanyia kazi sasa nae aondoke aache kiti kistaarabu tu bila maumivu!au sio???Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.
18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.
Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
3/3 ndo leoNa huyu aliepo mlimpa mapendekezo 18 hakusikiliza wala kuyafanyia kazi sasa nae aondoke aache kiti kistaarabu tu bila maumivu!au sio???
Ndio ndio !!usiku wa nane kuamkia tarehe nne!!3/3 ndo leo
Una maanisha!!??Kumemmkucha