Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.

Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.

Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.

Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
Tutarajie ile dhamira ya awali haitoendelea!?

Kama haitoendelea hizo nyuzi tatu Baada ya hii yaani ;FDR na 12 Tz,Mstaafu kustafishwa na kitabu ni uendelevu wa maono au ni kubadilika KWA maono!?

Kama hutojali njoo ufafanue hii,tujue kama mnafurahishwa na uendelevu wa utekelezaji wa maono yale!
 
Upande wa pili unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivyo.
Deni la taifa linazidi kupaa, wanaosemwa kuwa wabunge wasiostahili bado wanaendelea kutafuna posho, uchaguzi serikali za mitaa tumeanza maandalizi na utafanyika mwakani.

Ushauri wenu haukuzingatiwa?!
 
Back
Top Bottom