Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Moja katika wachangiaji wakuu na waleta Uzi au mada zenye changa moto na kuibua mambo mbalimbali katika jamii yetu.
Watu wengi sana humu walikua wakijiuliza huyu MTU ameenda wapi au ameacha kutumia jamii forums.
Lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa amepigwa banned na uongozi wa jf sijui alifanya kosa gani
GENTAMYCINE
Ila huyu jamaa alikua maarufu sana humu na watu wengi wali mfatilia hasa katika nyuzi zake na comments zake I hope watamfungulia hivi karibuni ili ajiunge nasi GENTAMYCINE
Watu kama hawa ni sana has a katika kukushauri na kuibua makosa katika jamii

Na kuna baadhi yatu pia hawa onekani kabisa kama
NAHUJA
Na kadhalika
 
Chunga na wew usije kula ban
 
tupo naye kwa ID nyingine na hata hii comment tayari ameisoma. Ila mshauri abadiliahe mwandiko ule anaotumia kwasisi watumiaje wa simu unaboa kuumiza macho n.k au awe ana u bold

mwenzie nyaningambu siku hizi anachezea kichapo cha ban tu
 
Unaposema amepotea unamaanisha nini? Hadi jana saa 5 asubuhi tare 4 May 2018 alikua hewani. Kwanini kuwasingizia modes wakati wanafanya kazi yao bila kuangalia ID?

Ukifuata kanuni, taratibu na sheria za JF hakuna kuonewa bila sababu, ukienda kinyume utaratibu utachukua mkondo wake.
 
Utakuwa ndio wewe unajipigia promo

Uyo uliyemsema Ana utindio wa ubongo bila shaka
 
Acha kujipa promo wewe Gento na mi ID yako mingi....acha kutafuta kiki...hahahaha
 
Ila ikibainika very sad huyu jamaa ni mtj muhimiu humu jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…